Papa Leo V
Mandhari
Papa Leo V alikuwa Papa kuanzia Julai 903 hadi kifo chake mwezi wa Septemba 903[1]. Alitokea Ardea, Lazio, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa halijulikani.
Alimfuata Papa Benedikto IV akafuatwa na Papa Sergio III.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Norwich, John Julius, The Popes: A History (2011)
- Mann, Horace K., The Lives of the Popes in the Early Middle Ages, Vol. IV: The Popes in the Days of Feudal Anarchy, 891-999 (1910)
- DeCormenin, Louis Marie; Gihon, James L., A Complete History of the Popes of Rome, from Saint Peter, the First Bishop to Pius the Ninth (1857)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |