Nothing Special   »   [go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Hermann Emil Fischer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hermann Emil Fischer

Hermann Emil Fischer (9 Oktoba 185215 Julai 1919) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Baadhi ya utafiti mwingine aligundua usanisi wa glukosi (aina ya sukari). Mwaka wa 1902 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hermann Emil Fischer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.