Nothing Special   »   [go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Tana (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: sv:Tanasjön
No edit summary
 
(marekebisho 26 ya kati na watumizi wengine 17 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
{{Ziwa
{| border="0" cellpadding="2" cellspacing="1" style="float:right; empty-cells:show; width:300px; margin-left:1em; margin-bottom:0,5em; background:#EBE085;"
| jina = Ziwa Tana
!colspan="2" | Picha
| picha = Lake_tana.jpg
|-bgcolor="#FFFFFF"
| maelezo_ya_picha = Ziwa la Tana, picha kutoka angani, 1991
| colspan="2" style="text-align:center; font-size:smaller" |
| mahali = Nyanda za juu za [[Ethiopia]], ([[Afrika ya Mashariki]])
[[Image:Lake_tana.jpg|thumb|300px|Ziwa la Tana, picha kutoka angani, 1991]]
| nchi =
|-
| eneo = 2.156 km²
! colspan="2" align=center | '''Ziwa la Tana'''
| kina = 14 m
|-bgcolor="#FFFFFF"
| mito inayoingia = [[Rib]] na [[Gumara]]
| width="50%" |Jina: ||width="50%" |Ziwa la Tana
| mito inayotoka = [[Abbai]] ([[Nile ya buluu]])
|-bgcolor="#FFFFFF"
| kimo = 1.788 m
| Mahali: || Nyanda za juu za [[Ethiopia]], ([[Afrika ya Mashariki]])
| miji = [[Bahir Dar]]
|-bgcolor="#FFFFFF"
}}
| Eneo la maji: || 2.156 km²
'''Ziwa la Tana''' ni [[ziwa]] kubwa la [[Ethiopia]] ambalo ni [[asili]] ya [[Nile ya Buluu]]. [[Beseni]] lake liko takriban [[Kilomita|km]] 370 [[kaskazini]]-[[magharibi]] kwa [[Addis Ababa]] katika [[nyanda za juu]] [[nyanda za juu za Ethiopia|za Ethiopia]].
|-bgcolor="#FFFFFF"
| Kina ya chini: || 14 m
|-bgcolor="#FFFFFF"
| Mito inayoingia: || [[Rib]] na [[Gumara]]
|-bgcolor="#FFFFFF"
| Mito inayotoka: || [[Abbai]] ([[Nile ya buluu]])
|-bgcolor="#FFFFFF"
| Uwiano wa maji juu ya [[UB]]: || 1.788 m
|-bgcolor="#FFFFFF"
| Miji mikubwa ufukoni: || [[Bahir Dar]]
|-bgcolor="#FFFFFF"
|}


[[Umbo]] la ziwa limebadilika katika [[karne]] iliyopita kutokana na [[mashapo]]. [[Kamusi]] ya [[mwaka]] [[1888]] ilitaja [[kina]] cha [[mita]] 100, lakini leo ni mita 14 pekee. Eneo la ziwa hubadilika na [[majira ya mvua]] au [[ukame]] yaani kuwa na [[maji]] mengi au kidogo.
'''Ziwa la Tana''' ni ziwa kubwa la [[Ethiopia]] na asili ya [[Nile ya Buluu]]. Beseni yake iko taktiban 370 km kaskazini-magharbibi ya [[Addis Ababa]] katika nyanda za juu za Ethiopia.
[[Image:Lake Tana, Ethiopia.jpg|thumb|left|200px|Ziwa la Tana]]
Umbo la ziwa limebadilika katika karne iliyopita kutokana na [[mashapo]]. Kamusi ya mwaka 1888 ilitaja kina ya mita 100, lakini leo ni mita 14 pekee. Eneo la ziwa hubadilika na majira ya mvua au ukame yaani kuwa na maji mengi au kidogo. Mito mingi inaingia ziwani ikiwa mikubwa kati yao ni mito ya Rib na Gumara.


[[Mto|Mito]] mingi inaingia ziwani ikiwa mikubwa, kati yake ni mito ya [[mto Reb|Reb]] na [[mto Gumara|Gumara]].
Mto wa [[Abbai]] (jina la Kiethiopia la [[Nile ya buluu]]) unatoka katika ziwa.


Mto [[Abbai]] ([[jina]] la Kiethiopia la [[Nile ya buluu]]) unatoka katika ziwa.
Eneo la Ziwa la Tana ni kitovu cha kihistoria cha Ethiopia ya Kikristo. Katika visiwa vidogo ziwani kuna makanisa na [[monasteri]] 20 zilizojengwa tangu karne ya 14 [[BK]].


Eneo la Ziwa la Tana ni [[kitovu]] cha [[historia|kihistoria]] cha Ethiopia ya [[Ukristo|Kikristo]]. Katika [[Kisiwa|visiwa]] vidogo ziwani kuna [[kanisa|makanisa]] na [[monasteri]] 20 zilizojengwa tangu [[karne ya 14]] [[BK]].


==Picha==
[[Category:Maziwa ya Ethiopia]]
<gallery>
Image:Lake Tana, Ethiopia.jpg|Ziwa Tana
</gallery>


==Viungo vya nje==
[[am:ጣና ሐይቅ]]
{{Commons|Lake Tana|Ziwa la Tana}}
[[ca:Llac Tana]]
{{-}}
[[cs:Tana (jezero)]]
{{mbegu-jio-Ethiopia}}
[[da:Tanasøen]]
[[Category:Maziwa ya Ethiopia]]
[[de:Tanasee]]
[[en:Lake Tana]]
[[eo:Tana]]
[[es:Lago Tana]]
[[fr:Lac Tana]]
[[hu:Tana-tó]]
[[it:Lago Tana]]
[[ja:タナ湖]]
[[lv:Tanas ezers]]
[[nl:Tanameer]]
[[no:Tanasjøen]]
[[pl:Jezioro Tana]]
[[pt:Lago Tana]]
[[sl:Jezero Tana]]
[[sr:Језеро Тана]]
[[sv:Tanasjön]]
[[ta:தனா ஏரி]]
[[uk:Тана (озеро)]]
[[zh:塔納湖]]

Toleo la sasa la 14:25, 2 Juni 2023

Ziwa Tana
Ziwa la Tana, picha kutoka angani, 1991
Ziwa la Tana, picha kutoka angani, 1991
Mahali Nyanda za juu za Ethiopia, (Afrika ya Mashariki)
Eneo la maji 2.156 km²
Kina cha chini 14 m
Mito inayoingia Rib na Gumara
Mito inayotoka Abbai (Nile ya buluu)
Kimo cha uso wa maji
juu ya UB
1.788 m
Miji mikubwa ufukoni Bahir Dar

Ziwa la Tana ni ziwa kubwa la Ethiopia ambalo ni asili ya Nile ya Buluu. Beseni lake liko takriban km 370 kaskazini-magharibi kwa Addis Ababa katika nyanda za juu za Ethiopia.

Umbo la ziwa limebadilika katika karne iliyopita kutokana na mashapo. Kamusi ya mwaka 1888 ilitaja kina cha mita 100, lakini leo ni mita 14 pekee. Eneo la ziwa hubadilika na majira ya mvua au ukame yaani kuwa na maji mengi au kidogo.

Mito mingi inaingia ziwani ikiwa mikubwa, kati yake ni mito ya Reb na Gumara.

Mto Abbai (jina la Kiethiopia la Nile ya buluu) unatoka katika ziwa.

Eneo la Ziwa la Tana ni kitovu cha kihistoria cha Ethiopia ya Kikristo. Katika visiwa vidogo ziwani kuna makanisa na monasteri 20 zilizojengwa tangu karne ya 14 BK.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tana (ziwa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.