Doroth Kipeja
Mandhari
Doroth Kipeja. ni Muandaaji wa Video za Bongo Flava na Filamu, Nchini Tanzania Maarufu kama 'Tripod Media' hivi karibuni walifanya Filamu moja hivi iitwayo 'The Fake Pastors' ambayo kwa sasa inajibebea umaarufu mkubwa Nchini Tanzania.