Nothing Special   »   [go: up one dir, main page]

Doroth Kipeja

Pitio kulingana na tarehe 05:40, 20 Agosti 2007 na Muddyb (majadiliano | michango) (Doroth Kiprja)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Doroth Kipeja. ni Muandaaji wa Video za Bongo Flava na Filamu, Nchini Tanzania Maarufu kama 'Tripod Media' hivi karibuni walifanya Filamu moja hivi iitwayo 'The Fake Pastors' ambayo kwa sasa inajibebea umaarufu mkubwa Nchini Tanzania.