Nothing Special   »   [go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Vitali wa Savigny

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Vitali alivyochorwa.

Vitali wa Savigny (Tierceville, 1060 hivi - Savigny, leo nchini Ufaransa, 1122) alikuwa padri[1] kanoni[2] aliyeacha yote ili kuishi upwekeni maisha magumu[3] pamoja na kuhubiri na kuanzisha monasteri ya kike[4].

Kisha kupata wafuasi wengi, akawa abati wa monasteri ya kiume aliyoianzisha huko, akifuata kanuni ya Mt. Benedikto kwa namna iliyofanana na ya Wasitoo.

Baada ya kifo chake, monasteri za urekebisho wake ziliungana na Wasitoo.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 16 Septemba[5].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Vitalis of Savigny", Encyclopedia of the Middle Ages, (André Vauchez, ed.), James Clarke & Co, 2002. Kigezo:Isbn
  2. Webster, Douglas Raymund. "St. Vitalis of Savigny." The Catholic Encyclopedia. Vol. 15. New York: Robert Appleton Company, 1912. 31 Jan. 2015
  3. https://www.santiebeati.it/dettaglio/70410
  4. Mayo, Hope (1987). "Reviewed work: Vitalis van Savigny (1122): Bronnen en vroege cultus mit editie van diplomatische teksten, J. J. Van Moolenbroek". Speculum. 62 (1): 215–217. doi:10.2307/2852620. JSTOR 2852620.
  5. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.