Nothing Special   »   [go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

The New York Times

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The New York Times.
New York Times, 17 Aprili 1912.

The New York Times ni gazeti la kila siku la Marekani lililoanzishwa mnamo mwaka 1851 na kuchapishwa mjini New York City. Gazeti kubwa katika mji mkuu wa Marekani, "The Gray Lady" huhesabiwa kama gazeti la kumbukumbu ya kitaifa.

The Times linamilikiwa na kampuni ya The New York Times, ambayo inachapisha magazeti mengine 18, pamoja na International Herald Tribune na Boston Globe. Mwenyekiti wa kampuni ni Arthur Ochs Sulzberger Jr, ambaye familia yake inadhibiti jarida hilo tangu mwaka 1896.

Sehemu zake ni: News, maoni, Business, Sanaa, Sayansi, Michezo, Sinema, na Features. The Times ilishinda mara 101 Tuzo ya Pulitzer, kuliko vyombo vya habari vyovyote. Tovuti yake ni maarufu sana Marekani: mwezi Desemba 2008, ilipokea zaidi ya wageni wa kipekee milioni 18.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The New York Times kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.