Wilibrodi
Mandhari
Wilibrodi (kwa Kiingereza cha Kale: Willibrord; kwa Kilatini: Villibrordus;[1] 658 hivi – 7 Novemba 739) alikuwa mmonaki Mbenedikto kutoka Northumbria (Uingereza) maarufu kama "Mtume wa Wafrisia" kwa uinjilishaji wake katika Uholanzi na Udeni za leo, alipoanzisha majimbo na monasteri mbalimbali[2].
Kwa kupewa daraja na Papa Sergio I alikuwa askofu wa kwanza wa Utrecht.
Kisha kuchoshwa na kazi na umri akafariki huko Echternach (leo nchini Luxembourg) katika monasteri mojawapo aliyoianzisha.[3]
Anaheshimiwa tangu zamani na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Further Papers Regarding the Relation of Foreign States with the Court of Rome: Presented to the House of Commons ... Jun. 1853 (kwa Kiingereza). Harrison. 1853.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/76600
- ↑ Mershman, Francis. "St. Willibrord." The Catholic Encyclopedia. Vol. 15. New York: Robert Appleton Company, 1912. 5 Mar. 2014
- ↑ Martyrologium Romanum
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- Paul Dräger (ed.), Alkuin, Vita sancti Willibrordi; Das Leben des heiligen Willibrord (Trier: Kliomedia, 2008).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Media related to Saint Willibrord at Wikimedia Commons
- A reconstructed portrait of Willibrord, based on historical sources, in a contemporary style.
- Beda Mheshimiwa (731), "Book V: 10, 11; About Willibrord", Ecclesiastical History of the English Nation, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-08-14, iliwekwa mnamo 2016-10-07
{{citation}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |