Sava wa Serbia
Mandhari
Sava wa Serbia (kwa Kiserbokroatia: Свети Сава / Sveti Sava; jina la awali: Растко Немањић/Rastko Nemanjić; 1174 – 14 Januari 1236), alikuwa mwana wa ukoo wa kitemi nchini Serbia ambaye alijifanya mmonaki katika Mlima Athos, akawa askofu mkuu wa kwanza wa Kanisa la Kiorthodoksi la Serbia (1219), mtunzi wa sheria za Serbia (Zakonopravilo), na mwanadiplomasia.
Kwa kufanya hivyo aliipatia nchi yake uhuru wa kisiasa na wa Kikanisa. Ndiyo maana anahesabiwa kati ya watu muhimu zaidi wa historia ya Serbia.
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- Bogdanović, Dimitrije (1999) [1986]. "Свети Сава - Сабрани списи" (tol. la Internet). Просвета и Српска књижевна задруга.
{{cite web}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Bogdanović, Dimitrije (1980). Историја старе српске књижевности [History of the Old Serbian Literature]. Београд: Српска књижевна задруга.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Ćorović, Vladimir (2001) [1997]. "Istorija srpskog naroda" (tol. la Internet). Belgrade: Јанус; Ars Libri.
{{cite web}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Fine, John Van Antwerp, Jr. (1994). The Late Medieval Balkans: A Critical Survey from the Late Twelfth Century to the Ottoman Conquest. University of Michigan Press. ISBN 978-0-472-08260-5.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help)CS1 maint: multiple names: authors list (link) - Matejić, Mateja (1976). Biography of Saint Sava. Kosovo.
- Mileusnić, Slobodan (2000) [1989]. Sveti Srbi. Novi Sad: Prometej. ISBN 86-7639-478-4. OCLC 44601641.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) (Kiserbia) - Obolensky, Dimitri (2004) [1991, 1988]. "Свети Сава". Шест Византијских портрета [Six Byzantine Portraits]. Београд: Српска књижевна задруга, Просвета. ku. 133–191.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) (Kiserbia) - Stanojević, Stanoje (2008) [1989, 1935]. "Свети Сава" [Saint Sava]. Rastko. (Kiserbia)
- Stanojević, Stanoje (1935). Свети Сава [Saint Sava]. Државна штампарија.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Velimirović, Nikolaj (1989) [1951]. The Life of St. Sava (tol. la Revised). St. Vladimir's Seminary Press. ISBN 978-0-88141-065-5.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Vlasto, A. P. (1970). The Entry of the Slavs into Christendom: An Introduction to the Medieval History of the Slavs. Cambridge: Cambridge University Press. ISBN 9780521074599.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Živojinović, M. (2000). Калић, Јованка (mhr.). "Стефан Немања као монах Симеон". Међународни научни скуп Стефан Немања - Свети Симеон Мироточиви - историја и предање, Септембар 1996. Београд: 101–113.
{{cite journal}}
: Invalid|ref=harv
(help)
Marejeo mengine
[hariri | hariri chanzo]- Bakić-Hayden, Milica (2010). "Saint Sava and the power (s) of spiritual authority" (PDF). Serbian Studies. 24 (1). NASSS: 49–62. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-08-10. Iliwekwa mnamo 2021-01-20.
{{cite journal}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - Ferjančić, Božidar; Maksimović, Ljubomir (2014). "Sava Nemanjić and Serbia between Epiros and Nicaea". Balcanica. 45. SANU: 37–54.
- Marjanović-Dušanić, Smilja (2015). "Charisma and authority: Toward a hagiographic portrait of St. Sava". Zbornik radova Vizantološkog instituta. 52: 277–289. doi:10.2298/ZRVI1552277M.
- Marković, Miodrag. "The first journey of St. Sava of Serbia to Palestine". Zograf. 29: 47–92.
- Miljković, Bojan (2015). "Sava, Stefan Radoslav and Demetrios Chomatenos". Zbornik radova Vizantološkog instituta. 52: 259–275. doi:10.2298/ZRVI1552259M.
- Mošin, Vladimir (1979). "Правни списи Светога Саве". Међународни научни скуп, Сава Немањић — Свети Сава, Историја и предање. Београд: SANU: 101–128.
{{cite journal}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Petrović, Miodrag (2002). "Свети Сава као састављач и преводилац Законоправила — српског номоканона" (PDF). Историјски часопис. 49: 27–46. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-03-24. Iliwekwa mnamo 2018-05-13.
{{cite journal}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - Savić, Aleksandar Z. (2015). "'Imagining' Babylon - geography and hagiography in St Sava of Serbia's middle eastern itinerary". Zbornik radova Vizantološkog instituta. 52: 291–312. doi:10.2298/ZRVI1552291S.
- Simović, Ranko (1997). Sveti Sava: prvi srpski prosvetitelj. Draganić.
- Zorić, Petar (2006), Законоправило Светога Саве и правни транспланти (PDF) (kwa Serbian), Alan Watson, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo Septemba 30, 2011
{{citation}}
: Invalid|ref=harv
(help); Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Istorijska biblioteka: Sveti Sava (Kiserbia)
- Collected works (Kiserbia)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
Jamii:
- Pages using the JsonConfig extension
- CS1 errors: invalid parameter value
- CS1 maint: multiple names: authors list
- CS1 errors: unsupported parameter
- CS1 maint: date auto-translated
- CS1 maint: unrecognized language
- CS1 uses Kiserbia-language script (sr)
- Mbegu za Wakristo
- Waliozaliwa 1174
- Waliofariki 1236
- Wamonaki
- Maaskofu
- Watakatifu wa Serbia
- Historia ya Serbia