Nothing Special   »   [go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Ninga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa matumizi taofauti ya jina hili angalia hapa Ninga (Njombe)

Ninga
Ninga wa Afrika (Treron calvus)
Ninga wa Afrika (Treron calvus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Columbiformes (Ndege kama njiwa)
Familia: Columbidae (Ndege walio na mnasaba na njiwa)
Nusufamilia: Treroninae (Ninga)
Ngazi za chini

Jenasi 4; spishi 10 katika Afrika:

Ninga ni ndege wa nusufamilia Treroninae katika familia Columbidae. Spishi nyingi zina rangi ya majani na manjano, nyingine zina rangi ya buluu. Spishi hizi zinatokea Afrika na Asia. Hula matunda, hususa matini. Hulijenga tago lao mitini na jike huyataga mayai mawili.

Spishi za Afrika

[hariri | hariri chanzo]

Spishi za Asia

[hariri | hariri chanzo]