Ninawi
Mandhari
Ninawi (kwa Kiakadi: Ninwe; kwa Kiashuru: ܢܸܢܘܵܐ; kwa Kiebrania נינוה , Nīnewē; kwa Kigiriki Νινευη, Nineuē; kwa Kiarabu: نينوى, Naīnuwa) ulikuwa mji mkuu wa Waashuru upande wa mashariki wa mto Tigri.
Magofu yake yako ng'ambo ya mto huo ukitokea Mosul (Iraki).
Mji huu ulikuwa mkubwa kuliko yote duniani[1] kwa miaka hamsini hadi mwaka 612 KK uliposhindwa na Wababuloni.[2]
Katika Biblia ni maarufu hasa kutokana na habari zinazopatikana katika kitabu cha Yona na zilizotumiwa na Yesu kuhimiza toba akisema watu wa Ninawi watasimama kuhukumu watu ambao hawatatubu siku za mwisho[3] .
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ninawi ni nchi gani kwasasa? – Site title". WINGU LA MASHAHIDI WA KRISTO. 2022-03-11. Iliwekwa mnamo 2022-04-09.
- ↑ Matt T. Rosenberg. "Largest Cities Through History". geography.about.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-18. Iliwekwa mnamo 6 Mei 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Ninawi ni nchi gani kwasasa? – Site title". WINGU LA MASHAHIDI WA KRISTO. 2022-03-11. Iliwekwa mnamo 2022-04-09.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- John Malcolm Russell, Sennacherib's "Palace without Rival" at Nineveh, University Of Chicago Press, 1992, ISBN 0226731758
- Richard David Barnett, Sculptures from the north palace of Ashurbanipal at Nineveh (668-627 B.C.), British Museum Publications Ltd, 1976, ISBN 0714110469
- R. Campbell Thompson and R. W. Hutchinson, A century of exploration at Nineveh, Luzac, 1929
- Carl Bezold, Catalogue of the Cuneiform Tablets in the Kouyunjik Collection of the British Museum: Volume I, British Museum, 1889
- Carl Bezold, Catalogue of the Cuneiform Tablets in the Kouyunjik Collection of the British Museum: Volume II, British Museum, 1891
- Carl Bezold, Catalogue of the Cuneiform Tablets in the Kouyunjik Collection of the British Museum: Volume III, British Museum, 1893
- Carl Bezold, Catalogue of the Cuneiform Tablets in the Kouyunjik Collection of the British Museum: Volume IV, British Museum, 1896
- Carl Bezold, Catalogue of the Cuneiform Tablets in the Kouyunjik Collection of the British Museum: Volume V, British Museum, 1899
- W. L. King, Catalogue of the Cuneiform Tablets in the Kouyunjik Collection of the British Museum: Supplement I, British Museum, 1914
- W. G. Lambert, Catalogue of the Cuneiform Tablets in the Kouyunjik Collection of the British Museum: Supplement II, British Museum, 1968
- W. G. Lambert, Catalogue of the Cuneiform Tablets in the Kouyunjik Collection of the British Museum: Supplement III, British Museum, 1992
- M. Louise Scott and John MacGinnis, Notes on Nineveh, Iraq, vol. 52, pp. 63–73, 1990
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Picha za Joanne Farchakh-Bajjaly zilizochukuliwa Mei 2003 Archived 9 Oktoba 2012 at the Wayback Machine.
- John Malcolm Russell, "Stolen stones: the modern sack of Nineveh" Archived 15 Desemba 2012 at the Wayback Machine. in Archaeology; looting of sculptures in the 1990s.
- Ukurasa wa Ninawi kwenye tovuti ya Jumba la Makumbusho la Uingereza
- University of California Digital Nineveh Archives Archived 27 Novemba 2020 at the Wayback Machine. A teaching and research tool presenting a comprehensive picture of Nineveh within the history of archaeology in the Near East, including a searchable data repository for meaningful analysis of currently unlinked sets of data from different areas of the site and different episodes in the 160-year history of excavations.
- CyArk Digital Nineveh Archives Archived 13 Juni 2011 at the Wayback Machine., publicly accessible, free depository of the data from the previously-linked UC Berkeley Nineveh Archives project, fully linked and georeferenced in a UC Berkeley/CyArk research partnership to develop the archive for open web use. Includes creative commons-licensed media items.
- ABC 3 Archived 14 Mei 2011 at the Wayback Machine.: Babylonian Chronicle Concerning the Fall of Nineveh
- Layard's Nineveh and its Remains- full text
- A history Archived 11 Julai 2017 at the Wayback Machine.
- Austen Henry Layard - Nineveh and Its Remains full book readable
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|