My Heart Will Go On
“My Heart Will Go On” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Celine Dion | |||||
Imetolewa | 8 Desemba 1997 | ||||
Aina | pop | ||||
Urefu | 4:40 | ||||
Studio | Columbia, Epic | ||||
Mtayarishaji | James Horner, Will Jennings | ||||
Mwenendo wa single za Celine Dion | |||||
|
"My Heart Will Go On" ni wimbo unaotoka kwa filamu ya Titanic. Ilitayarishwa na James Horner na Will Jennings na kurekodiwa na Celine Dion. Ilikuwa namba 1 kote duniani, ikiwemo nchini Marekani, Uingereza na Australia. My Heart Will Go On ilitolewa nchini Australia na Ujerumani mnamo 8 Desemba 1997; na kote duniani mnamo Januari/Februari 1998.
Historia
[hariri | hariri chanzo]James Horner alipomaliza kuandika maneno ya wimbo huu, alimchagua Celine Dion kuimba wimbo huu. Hapo awali, Dion alikataa, lakini mumewe, Rene Angelil, alimsihi akubali kuimba wimbo huu.
Mafanikio kwenye chati
[hariri | hariri chanzo]"My Heart Will Go On" ni wimbo ambao ulivuma sana. Nchini Marekani, ilikuwa namba 1 kwenye chati ya Billboard Hot 100 na ilibaki papo hapo kwa wiki mbili. Ilibaki namba 1 kwa muda ya wiki 10 kwenye Billboard Hot 100 Airplay na pia ilikuwa namba 1 kwa muda ya wiki 2kwenye Hot 100 Singles Sales. Mwishowe, ilithibitishwa gold.
Ilikuwa namba 1 kote duniani, zikiwemo: wiki 15 nchini Uswizi, wiki 13 nchini Ufaransa na Ujerumani, wiki 11 chini Netherlands na Sweden, wiki 10 nchini Belgium, wiki 4 nchini Australia na Austria, wiki2 nchini Spain na Uingereza, na wiki 1 nchini Finland.
Nchini Ujerumani, "My Heart Will Go On" iliuza zaidi ya nakala milioni 2 na ikathibitishwa 4x platinum.[1] Imeuza zaidi ya nakala milioni moja nchini Uingereza na Ufaransa. Thibitisho nyingine ni kama: 3x platinum in Belgium (150,000), 2x platinum nchini Australia (140,000), Netherlands (150,000), Norway (40,000), Sweden (40,000), Switzerland (100,000), platinum nchini Greece (40,000) na gold nchini Austria (25,000).
Orodha ya wimbo
[hariri | hariri chanzo]
European CD single
European CD single #2
French CD single
French CD single #2
French CD single #3
Japanese CD single
UK cassette single
U.S. CD single
Australian/Brazilian/European/UK/Korean CD maxi single
|
Australian CD maxi single #2
Brazilian CD maxi single #2
European CD maxi single #2 / UK 12" single
Japanese/Korean CD maxi single
UK CD maxi single #2
|
Toleo rasmi
[hariri | hariri chanzo]- "My Heart Will Go On" (Richie Jones mix) – 4:15
- "My Heart Will Go On" (Richie Jones love go on mix) – 4:58
- "My Heart Will Go On" (Richie Jones go on beats) – 5:10
- "My Heart Will Go On" (Riche Jones unsinkable club mix) – 10:04
- "My Heart Will Go On" (Tony Moran mix) – 4:21
- "My Heart Will Go On" (Tony Moran's anthem vocal) – 9:41
- "My Heart Will Go On" (Soul Solution bonus beats) – 3:31
- "My Heart Will Go On" (Soul Solution) – 4:18
- "My Heart Will Go On" (Soul Solution percapella) – 4:16
- "My Heart Will Go On" (Soul Solution drama at the sea) – 8:54
- "My Heart Will Go On" (Matt & Vito's penny whistle dub) – 3:23
- "My Heart Will Go On" (Matt & Vito's unsinkable epic mix) – 9:53
- "My Heart Will Go On" (Cuca's radio edit) – 4:22
- "My Heart Will Go On" (movie dialogue) – 4:41
- "My Heart Will Go On" (soundtrack version) – 5:11
- "My Heart Will Go On" (alternate orchestra version) – 5:51
- "My Heart Will Go On" (TV track) – 3:12
- "My Heart Will Go On" (no lead vox) – 4:41
- "My Heart Will Go On" (album version) – 4:40
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chart (1997) | Peak position |
---|---|
Australian Singles Chart[2] | 1 |
German Singles Chart[3] | 1 |
Chart (1998) | Peak position |
Austrian Singles Chart[4] | 1 |
Belgian Flanders Singles Chart[5] | 1 |
Belgian Wallonia Singles Chart[6] | 1 |
Canadian Singles Chart[7] | 14 |
Canadian Adult Contemporary Chart[8] | 1 |
Danish Singles Chart[9] | 1 |
Dutch Singles Chart[10] | 1 |
European Singles Chart[11] | 1 |
Finnish Singles Chart[12] | 1 |
French Singles Chart[13] | 1 |
Greek Singles Chart[14] | 1 |
Irish Singles Chart[15] | 1 |
Italian Singles Chart[16] | 1 |
Japanese Singles Chart[17] | 34 |
New Zealand Singles Chart[18] | 34 |
Norwegian Singles Chart[19] | 1 |
Spanish Singles Chart[20] | 1 |
Swedish Singles Chart[21] | 1 |
Swiss Singles Chart[22] | 1 |
UK Singles Chart[23] | 1 |
U.S. Billboard Hot 100[24] | 1 |
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks[25] | 1 |
U.S. Billboard Hot Adult Top 40 Tracks[26] | 3 |
U.S. Billboard Hot Latin Pop Airplay[27] | 1 |
U.S. Billboard Hot Latin Tracks[28] | 1 |
U.S. Billboard Latin Tropical Airplay[29] | 2 |
U.S. Billboard Rhythmic Top 40[30] | 3 |
U.S. Billboard Top 40 Mainstream[31] | 1 |
Tuzo
[hariri | hariri chanzo]Alitanguliwa na "You Must Love Me" from Evita |
Academy Award for Best Original Song 1998 |
Akafuatiwa na "When You Believe" from The Prince of Egypt |
Alitanguliwa na "You Must Love Me" from Evita |
Golden Globe Award for Best Original Song 1998 |
Akafuatiwa na "The Prayer" from Quest for Camelot" |
Alitanguliwa na "Sunny Came Home by Shawn Colvin |
Grammy Award for Record of the Year 1999 |
Akafuatiwa na "Smooth by Santana featuring Rob Thomas |
Alitanguliwa na "Sunny Came Home by Shawn Colvin |
Grammy Award for Song of the Year 1999 |
Akafuatiwa na "Smooth by Santana featuring Rob Thomas |
Alitanguliwa na "Building a Mystery by Sarah McLachlan |
Grammy Award for Best Female Pop Vocal Performance 1999 |
Akafuatiwa na "I Will Remember You by Sarah McLachlan |
Alitanguliwa na "I Believe I Can Fly by R. Kelly |
Grammy Award for Best Song Written for a Motion Picture, Television or Other Visual Media 1999 |
Akafuatiwa na "Beautiful Stranger by Madonna |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Musicline.de Die beliebtesten Hits! Gemessen von KW 27/1959 bis KW 2/2010. Chartposition und -wochen werden miteinander verrechnet Archived 31 Agosti 2004 at the Wayback Machine. Musicline.de Retrieved 2010-01-11
- ↑ Australian Singles Chart
- ↑ "German Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-12. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ Austrian Singles Chart
- ↑ Belgian Flanders Singles Chart
- ↑ Belgian Wallonia Singles Chart
- ↑ Canadian Singles Chart
- ↑ "Canadian Adult Contemporary Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-23. Iliwekwa mnamo 2021-03-21.
- ↑ Danish Singles Chart
- ↑ Dutch Singles Chart
- ↑ "European Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2005-03-11. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ Finnish Singles Chart
- ↑ French Singles Chart
- ↑ "Greek Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-27. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help) - ↑ Irish Singles Chart
- ↑ "Italian Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-03-09. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ Japanese Singles Chart
- ↑ "New Zealand Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-25. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://archive.today/20120525114516/http://charts.org.nz/showitem.asp?interpret=
ignored (help) - ↑ Norwegian Singles Chart
- ↑ Spanish Singles Chart
- ↑ Swedish Singles Chart
- ↑ Swiss Singles Chart
- ↑ UK Singles Chart
- ↑ "Billboard Hot 100". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-01-06. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ Hot Adult Contemporary Tracks
- ↑ "Hot Adult Top 40 Tracks". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-06-21. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ Latin Pop Airplay
- ↑ Hot Latin Tracks
- ↑ Latin Tropical Airplay
- ↑ Rhythmic Top 40
- ↑ Top 40 Mainstream