Nothing Special   »   [go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Mike DeWine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mike DeWine


Richard Michael DeWine (amezaliwa Januari 5, 1947) ni mwanasiasa na wakili wa Amerika anayehudumu kama gavana wa 70 wa Ohio. DeWine ni mwanachama wa Chama cha Republican, alianza kazi yake kama mwendesha mashtaka kabla ya kuchaguliwa katika Seneti ya Ohio. DeWine baadaye alihudumu kama mwakilishi wa Amerika kutoka 1983 hadi 1991, lieutenant gavana wa 59 wa Ohio chini ya George Voinovich kutoka 1991 hadi 1994, seneta wa amerika kutoka 1995 hadi 2007, na mwanasheria mkuu wa 50 wa Ohio kutoka 2011 hadi 20019.


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mike DeWine kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.