Nothing Special   »   [go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Kuro (jenasi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kuro
Dume la kuro ndogoro (Kobus e. ellipsiprymnus)
Dume la kuro ndogoro
(Kobus e. ellipsiprymnus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
Gray, 1821
Nusufamilia: Reduncinae (Wanyama wanaofanana na tohe)
Meyer, 1907
Jenasi: Kobus (Kuro)
A. Smith, 1840
Ngazi za chini

Spishi 6, nususpishi 11:

Kuro ni spishi ya kawaida zaidi ya jenasi Kobus katika familia Bovidae. Spishi nyingine za jenasi hii zinaitwa lechwe, mraye na sheshe. Spishi zote zinatokea karibu na maji na hutorokea maji wakitishwa na mnyama mbua. Rangi ya spishi nyingi ni ya mchanga lakini rangi ya kuro na spishi nyingine kadhaa ni kahawia hadi kijivu au nyeusi. Mara nyingi kuna rangi ya nyeupe kuzunguka macho na pua na matako. Wanyama hawa hula nyasi.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kuro (jenasi) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.