Nothing Special   »   [go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Kisiwa cha Buturume

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisiwa cha Buturume ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Kalangala).

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]