Nothing Special   »   [go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Kikao cha hekima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya karne ya 12 katika kanisa kuu la Sansepolcro, Italia.

Kikao cha hekima (kwa Kilatini: sedes sapientiae; kwa Kiingereza: Seat of Wisdom au Throne of Wisdom) ni sifa mojawapo ambayo kuanzia karne ya 11[1] Wakristo kadhaa wanampatia Bikira Maria kama mama wa Yesu, Mungu Mwana ambaye ni Neno na Hekima ya Baba.

Jina hilo limeenezwa hasa na litania ya Loreto [2].

  1. Rotan, S.M., Johann. "Mary, Seat of Wisdom", Marian Library, University of Dayton
  2. Bagley, Charlotte Hartwell (1976). "Litany of Loreto". The Catholic Encyclopedia (kwa Kiingereza). Juz. la 8. Washington. uk. 971.{{cite book}}: CS1 maint: location missing publisher (link)

Marejeo mengine

[hariri | hariri chanzo]
  • Hans Belting, 1994. Likeness and Presence: A History of the Image before the Era of Art. Translated by Edmund Jephcott. Chicago: University of Chicago Press. ISBN|9780226042145
  • Ilene H. Forsyth, 1972. The Throne of Wisdom: Wood Sculptures of the Madonna in Romanesque France. Princeton: Princeton University Press. ISBN|9780691657165
  • Barbara G. Lane, 1984. The Altar and the Altarpiece, Sacramental Themes in Early Netherlandish Painting. New York: Harper & Row. ISBN|0-06-430133-8
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikao cha hekima kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.