Nothing Special   »   [go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Kelela Mizanekristos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kelela Mizanekristos
Kelela Mwaka 2018
Kelela Mwaka 2018
Maelezo ya awali
Amezaliwa 3 Juni 1983 (1983-06-03) (umri 41)
Washington, D.C.,
Kazi yake Mwimbaji
Mwandishi
Miaka ya kazi 2011 - hadi leo
Tovuti Kelela.com

Kelela Mizanekristos (amezaliwa 3 Juni, 1983) ni mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka nchini Marekani. Kwa mara ya kwanza katika sekta ya muziki alizindua kanda yake ya muziki mwaka 2013 inayojulikana kama cut 4 Me. Mnamo 2015, alizindua Hallucinogen pamoja na EP. Albamu yake ya kwanza iliyoitwa Take Me Apart, ilitolewa mwaka 2017 ikiwa na sifa kubwa.[1]

  1. "Kelela's Philosophy of Love". Pitchfork. Iliwekwa mnamo Agosti 10, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kelela Mizanekristos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.