Nothing Special   »   [go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Kalyan-Dombivli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kalyan-Dombivli ni jiji la jimbo la Maharashtra nchini Uhindi lenye wakazi milioni 1.25 (2011). Ni mji mkubwa wa ishirini na tisa nchini Uhindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kalyan-Dombivli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.