Kaisari Leo III
Mandhari
Kaisari Leo III (685 hivi - 18 Juni 741) alitawala Dola la Roma Mashariki kuanzia mwaka 717 hadi 741[1].
Katika historia ya Kanisa anakumbukwa kwa kudhulumu Wakristo wengi akidai wasitumie tena picha takatifu[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Craig, Graham, Kagan, Ozment, and Turner (2011). The Heritage of World Civilizations. Prentice Hall. uk. 321. ISBN 978-0-205-80766-6.
{{cite book}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link) - ↑ Gero, Stephen (1973). Byzantine Iconoclasm during the Reign of Leo III, with Particular Attention to the Oriental Sources. Louvain: Secrétariat du Corpus SCO. ISBN 90-429-0387-2.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Ostrogorsky, George (1956). History of the Byzantine State. Oxford: Basil Blackwell.
- Entry of "Leo III" in The Oxford Dictionary of Byzantium, ed. Alexander Kazhdan. New York: Oxford University Press, 1991.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Bizanti bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaisari Leo III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |