Nothing Special   »   [go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Kattegat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Skagerak na Kattegat

Kattegat ni mlango wa bahari katika Ulaya ya kaskazini kati ya rasi ya Jutland ya Denmark na pwani la Uswidi (Sweden).

Kattegat ni sehemu ya njia ya kuunganisha Bahari ya Kaskazini na Bahari ya Baltiki. Kaskazini yake iko Skagerak na kusini milango ya Oresund na Belt Mkubwa.

Bahari haina kina kubwa lakini kuna usafiri mwingi wa meli za kila aina. Machafuko wa maji kutokana na mbolea wa kilimo yamesababisha kupungua sana kwa samaki katika sehemu hii.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kattegat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.