Ezechiele Ramin
Mandhari
Ezechiele Ramin, M.C.C.J. (anayejulikana kwa jina la utani "Lele" nchini Italia na "Ezequiel" nchini Brazili; Padova, 9 Februari 1953 – Cacoal, 24 Julai 1985) alikuwa padri mmisionari na msanii wa Italia kutoka Shirika la Wamisionari wa Comboni.
Aliuawa nchini Brazili wakati akitetea haki za wakulima na jamii ya asili ya Suruí katika eneo la Rondônia dhidi ya wamiliki wa ardhi wa eneo hilo. Papa Yohane Paulo II alimtaja kama shahidi wa huruma kwa kujitolea kwake katika kuwatetea wanyonge.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Claudia Belleffi (2010). "Padre Lele, martire della carità" (kwa Kiitaliano). Diocesi di Padova. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 22, 2011. Iliwekwa mnamo 28 Septemba 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Piera Cori (Julai 13, 2010). "Ezechiele Ramin" (kwa Kiitaliano). Piera Cori – Alla Tua Presenza. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 22, 2012. Iliwekwa mnamo 31 Machi 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |