Camillo Golgi
Mandhari
'
Camillo Golgi | |
---|---|
Camillo Golgi | |
Amezaliwa | 7 Julai 1844 |
Amefariki | 21 Januari 1926 |
Kazi yake | daktari kutoka nchi ya Italia |
Camillo Golgi (7 Julai 1844 – 21 Januari 1926) alikuwa daktari kutoka nchi ya Italia. Hasa alichunguza mfumo wa neva. Mwaka wa 1906, pamoja na Santiago Ramon y Cajal alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Golgi alikuwa mhadhiri wa histolojia wa Chuo Kikuu cha Pavia, ambapo alitumia sehemu kubwa ya kazi yake. Jina lake linaendelea kuheshimiwa katika kazi yake yasayansi
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Camillo Golgi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |