Nothing Special   »   [go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

24 (msimu wa 3)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Msimu wa 3 wa 24

Season 3 Cast
Nchi asilia Marekani
Mtandao Fox Broadcasting Company
Iko hewani tangu 28 Oktoba 2003 – 25 Mei 2004
Idadi ya sehemu 24
Tarehe ya kutolewa DVD 7 Desemba 2004
Msimu uliopita Msimu wa 2
Msimu ujao Msimu wa 4

Msimu wa Tatu(pia unajulikana kama Siku ya 3) ya mfululizo wa kipindi cha televisheni cha 24 ulioanza kurushwa nchini Marekani mnamo tar. 28 Oktoba 2003 na kipengele cha mwisho kuishia mnamo tar. 25 Mei ya mwaka wa 2004. Kipengele kikubwa kinatembea saa nzima na kilitolewa huria kwa sababu za kiabishara.

Mstari wa hadithi ya msimu wa tatu inaanza na kuisha saa 7:00 Mchana.

Muhtasari wa Msimu

[hariri | hariri chanzo]

Msimu wa Tatu unachukua nafasi baada ya miaka mitatu ya matukio yaliyoonekana katika Msimu wa Pili. Njama kuu za msimu huu ni tishio la kigaidi dhidhi ya kutoa silaha za kibiolojia— virusi vilivyokufa katika jiji la Los Angeles—wakati Rais Palmer anatembelea na kushiriki kwenye majadiliano ya kampeni na mpinzani wake mkubwa wa uchaguzi ujao.

Msimu huu unaweza kuvunjika katika vifungu vitatu muhimu kabisa (yote matatu yanahusisha harakati za kuokoa virusi visije vikaachiwa huru katika mji wao):

  1. CTU wanalazimika kuzuia vitisho vya kigaidi juu kutoa vurusi mjini Los Angeles endapo kama baba la unga Ramon Salazar hajatolewa jela.
  2. Jack Bauer ni lazima aingilie kati virusi hivyo wakati vinauzwa huko nchini Mexiko.
  3. Jangili mkuu amejulikana hivyo juhudi za kumzuia asije akaachia virusi hivyo zinafanyika.

Njama za chini

[hariri | hariri chanzo]

Wahusika

[hariri | hariri chanzo]

Hii ni orodha ya wahusika wakuu wa Msimu wa 3. Tazama orodha hii hapa kwa habari kamili.

Mastaa

Mastaa Wageni Waalikwa

Mkusanyiko Mpya

Vipengele

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]