Tana (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho
Mandhari
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 35: | Mstari 35: | ||
[[Category:Maziwa]] |
[[Category:Maziwa ya Afrika]] |
||
[[Category: Ethiopia]] |
[[Category: Ethiopia]] |
||
Pitio la 11:05, 14 Mei 2006
Picha | |
---|---|
Ziwa la Tana | |
Jina: | Ziwa la Tana |
Mahali: | Nyanda za juu za Ethiopia, (Afrika ya Mashariki) |
Eneo la maji: | 2.156 km² |
Kina ya chini: | 14 m |
Mito inayoingia: | Rib na Gumara |
Mito inayotoka: | Abbai (Nile ya buluu) |
Uwiano wa maji juu ya UB: | 1.788 m |
Miji mikubwa ufukoni: | Bahir Dar |
Ziwa la Tana ni ziwa kubwa la Ethiopia na asili ya Nile ya Buluu. Beseni yake iko taktiban 370 km kaskazini-magharbibi ya Addis Ababa katika nyanda za juu za Ethiopia.
Umbo la ziwa limebadilika katika karne iliyopita kutokana na mashapo. Kamusi ya mwaka 1888 ilitaja kina ya mita 100, lakini leo ni mita 14 pekee. Eneo la ziwa hubadilika na majira ya mvua au ukame yaani kuwa na maji mengi au kidogo. Mito mingi inaingia ziwani ikiwa mikubwa kati yao ni mito ya Rib na Gumara.
Mto wa Abbai (jina la Kiethiopia la Nile ya buluu) unatoka katika ziwa.
Eneo la Ziwa la Tana ni kitovu cha kihistoria cha Ethiopia ya Kikristo. Katika visiwa vidogo ziwani kuna makanisa na monasteri 20 zilizojengwa tangu karne ya 14 BK.