1936
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| ►
◄◄ |
◄ |
1932 |
1933 |
1934 |
1935 |
1936
| 1937
| 1938
| 1939
| 1940
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1936 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- 17 Julai - Vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Hispania inaanza mjini Melilla (Afrika ya Kaskazini) kwa uasi wa jeshi
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 10 Januari - Robert Wilson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1978
- 22 Januari - Alan Heeger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2000
- 27 Januari - Samuel Ting, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1976
- 22 Februari - Michael Bishop, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1989
- 11 Machi - Harald zur Hausen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2008
- 9 Mei - Ernest Shonekan, Rais wa Nigeria (1993)
- 15 Mei - Paul Zindel, mwandishi kutoka Marekani
- 17 Mei - Dennis Hopper, msanii wa Marekani
- 21 Mei - Günter Blobel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1999
- 3 Juni - Larry McMurtry, mwandishi kutoka Marekani
- 8 Juni - Kenneth Wilson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1982
- 24 Juni - Paul L. Smith, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 5 Agosti - John Saxon, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 20 Agosti - Hideki Shirakawa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2000
- 29 Agosti - John McCain, mwanasiasa kutoka Marekani
- 14 Septemba - Ferid Murad, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1998
- 26 Septemba - Winnie Madikizela-Mandela, mke wa kwanza wa Nelson Mandela
- 10 Oktoba - Gerhard Ertl, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2007
- 4 Novemba - C. K. Williams, mshairi kutoka Marekani
- 19 Novemba - Yuan Lee, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1986
- 5 Desemba - Lewis Nkosi, mwandishi wa habari kutoka Afrika Kusini
bila tarehe
- Antonio Casale, mwigizaji wa filamu kutoka Hispania
Waliofariki
hariri- 18 Januari - Rudyard Kipling, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1907
- 8 Februari - Charles Curtis, Kaimu Rais wa Marekani
- 27 Februari - Ivan Pavlov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1904
- 28 Februari - Charles Nicolle, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1928
- 8 Aprili - Robert Barany, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1914
- 15 Agosti - Grazia Deledda, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1926
- 8 Oktoba - Munshi Premchand, mwandishi kutoka Uhindi
- 10 Desemba - Luigi Pirandello, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1934
bila tarehe
Wikimedia Commons ina media kuhusu: