Michael Andrew (mwogeleaji)
Mandhari
Michael Andrew | |
Michael Andrew baada ya ushindi wa Mita 50 kwenye Mashindano ya Pan Pacific ya 2018]] | |
Nchi | Mmarekani |
---|---|
Kazi yake | Mwana michezo |
Michael Andrew (alizaliwa 18 Aprili 1999) ni Mmarekani anayeshiriki mashindano ya kuogelea na mshindi wa medali ya dhahabu katika mashindano ya Olimpiki. Alishinda katika Michuano ya Dunia ya 2016 katika mita 100. Katika mashindano yake ya kwanza ya Olimpiki ya 2020 majira ya joto alijishindia medali ya dhahabu na kuweka rekodi ya dunia kwenye mita 4x100, aliwekwa kwenye nafasi ya nne katika mashindano ya mita 100 yajulikanayo kama kiharusi, wa nne pia kwenye mita 50 kwenye mtindo huru, na wa tano kwenye mita 200 akiwa peke yake.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ IOC (2018-04-23). "Tokyo 2020 Summer Olympics - Athletes, Medals & Results". Olympics.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-12-03.