Kidzongkha
Mandhari
Kidzongkha ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Bhutan na Uhindi inayozungumzwa na Wadzongkha. Nchini Bhutan, Kidzongkha ni lugha rasmi na ya taifa. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kidzongkha nchini Bhutan imehesabiwa kuwa watu 160,000. Pia kuna wasemaji 11,000 nchini Uhindi (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidzongkha iko katika kundi la Kibodish.
Kidzongkha ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidzongkha kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidzongkha Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidzongkha katika Glottolog
- lugha ya Kidzongkha kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidzongkha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |