18 Septemba
Mandhari
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 18 Septemba ni siku ya 261 ya mwaka (ya 262 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 104.
Matukio
- 96 - Nerva anatangazwa kuwa Kaisari wa Dola la Roma (hadi 98)
- 1502 - Kristoforo Columbus anafika Costa Rica kwenye safari yake ya mwisho ng'ambo ya Atlantiki
- 1961 - Dag Hammarskjöld, Katibu Mkuu wa UM, anakufa katika ajali ya ndege nchini Kongo-Kinshasa akijaribu kuleta amani jimboni Katanga
Waliozaliwa
- 53 - Traian, Kaisari wa Dola la Roma (98-117)
- 1765 - Papa Gregori XVI
- 1907 - Edwin McMillan, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1951
- 1961 - James Gandolfini, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1969 - Cappadonna, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1974 - Xzibit, mwanamuziki wa Marekani
- 1979 - 2Face Idibia, mwimbaji wa Nigeria
Waliofariki
- 1663 - Mtakatifu Yosefu wa Kopertino, padri wa shirika la Ndugu Wadogo Wakonventuali kutoka Italia
- 1967 - John Douglas Cockcroft, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1951
- 1970 - Jimi Hendrix, mpiga gitaa kutoka Marekani
- 1980 - Katherine Anne Porter, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Oseani wa Nikomedia, Ariana mfiadini, Fereolo wa Vienne, Eustorji wa Milano, Senari wa Avranches, Fereoli wa Limoges, Eumeni wa Gortina, Rikarda, Yosefu wa Kopertino, Dominiko Trach, Maria wa Purisima n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 18 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |